Rais wa Sudani Kusini amtolea wito kiongozi wa upinzani Rieck Mashari alieugenini kurejea nyumbani.
Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na msemaji wa chama tawala nchini Sudani Kusini, rais Salva Kiir Mayardit amtolea wito kiongoni wa upinzani Riech Mashari kurejea mjini Juba.
Msemaji huyo amesema kuwa wito huo umetolewa ukimtaka kiongozi wa upinzani kushiriki katika mazungumzo ya muungano yanatarajiwa mwezi ujao mjini Juba.
Rieck Mashari alielekea nchini Afrika Kusini baada ya kupigwa kalamu na rais Salvaki mwaka 2016.

No comments :
Post a Comment