Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, August 9, 2018

Askari wanaohusika na Uhalifu kuuawa!


Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte  afahamisha kuwa askari watakao kutwa na hatia ya kuhusika na uhalifu watauawa.

Akizungumza kwenye mkutano  uliofanyika ikulu  na askari 102 ambao  wanashukiwa na kuhusika  na matendo ya uhalifu , katika mkutano huo rais wa Ufilipino amewafahamisha askari hao kuwa iwapo watarejea  kutenda makosa hayo basi hato sita kutoa  amri ya kifo dhidi yao.

Duterte amesema kuwa atachunguzi  tuhumu zote zinazowakabili askari kadhaa.

Duterte amewahakikishia askari hao kuwa atawaua  iwapo watarejea katika uhalifu. Rais wa Ufilipino ameendelea kusema kuwa ataunda tume  maalumu ambayo itawafuatilia na kuchunguza  mwenendo wao.

Askari wanatuhumiwa kuhusika na ulaji rushwa,  ubakaji na biashara haramu ya madawa ya kulevya.

No comments :

Post a Comment