dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, August 26, 2018

Raia wa Iran Avunja Rekodi ya Miaka 19 Kwenye Mashindano ya Asia!


Mwanamichezo
kutoka Nchini Iran mnyanyua Vitu Vizito Moradi alinyanyua kilo 189 kwenye kundi la kilo 94 la wanaume na kuvunja rekodi ya kilo 188.

Raia wa Iran Sohrab Moradi amevunja rekodi ya kunyanyua uzani ambayo imekuwepo kwa miaka mingi na kushinda dhahabu kwenye mashindano ya Asia.

Moradi alinyanyua kilo 189 kwenye kundi la kilo 94 wanaume na kuvunja rekodi iliyokuwa imewekwa ya kilo 188 na Mgiriki Akakios Kakiasvilis mwaka 1999.

Fares Elbakh wa Qatar alichukua fedha huku Sumpradit Sarat wa Thailand akishinda shaba.

"Nilitaka sana kuvunja rekodi ya dunia kwa sababu ndiyo sikuwa nayo ni hii ilikikuwa fursa yangu ya mwisaho," alisema Moradi.

2Nina furaha sana kwa sababu jina langu litabaki kwenye rekodis za uzani wa kilo94."

No comments :

Post a Comment