zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 21, 2018

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli Atangaza Siku Nne za Maombolezi Kuazia leo Kufuatilia Ajali ya Kuzama Kwa Kivuko Cha MV Nyerere Katika Ziwa Victoria Ukerewe Mkoani Mwanza!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake kati ya kisiwa cha Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia leo tarehe 21 Septemba 2018. 

Picha na Ikulu.

No comments :

Post a Comment