Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 30, 2018

Mwanajeshi mstaafu ashinda Urais Brazil, apata asilimia 55.1 ya kura zote!


Afisa Mstaafu wa Jeshi, Jair Bolsonaro ameshinda duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini humo baada ya kupata asilimia 55.1 ya kura zote.

Mpinzani wake Fernando Haddad ameambulia asilimia 44.9 ya kura zote zilizopigwa kwenye uchaguzi huo ulioteka hisia kubwa za Wananchi.

Rais Mteule Jair Bolsonaro amewashukuru wapiga kura wake kwa kumuamini lakini pia amemshukuru Mungu kwa kumuepusha na jaribio la kuuawa wakati wa kampeni zake.

No comments :

Post a Comment