Inataarifiwa kuwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka Marekani, 50 Cent atawasili nchini Uganda.
Taarifa hizo zimethibitishwa na Amos Masaba Wekesa ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Utalii 'Great Lakes Safaris' pamoja na Hoteli.
Ujio wa 50 unagonga vichwa vya habari zikiwa ni siku 10 tangu kuondoka kwa rapper Kanye West na timu yake nchini Uganda.

No comments :
Post a Comment