Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa(40) ametoa wito wa kuundwa kwa serikali ya mpito ili kutatua hali mbaya ya kiuchumi na mzozo wa kisiasa nchini humo
Chamisa ametoa wito huo jana akisema kwamba Upungufu wa fedha za kigeni umesababisha hali tata ya kiuchumi huku upatikanaji wa mafuta, chakula na madawa ukipungua.
Aidha, amesema hatua ya kwanza ni nchi hiyo kuingia katika mjadala wa kisiasa ambapo amekutana na viongozi wa kidini wanaotaka mjadala kati ya upinzani na Rais wa Nchi hiyo Emerson Mnangagwa.

No comments :
Post a Comment