Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Thursday, January 31, 2019
JENERALI ULIMWENGU!
- We live in the best of all possible worlds; if you don’t agree, we're coming after you.

Tanzania's President John Magufuli. Magufuli may come to discover, when it is too late, that building things rather than developing humanity is costly, and futile.
SummaryMagufuli may come to discover, when it is too late, that building things rather than developing humanity is costly, and futile.

More by this Author
There is something almost comical about what apologists for fascistic intolerance will do to defend the indefensible or to impeach the unimpeachable.
The kind of intolerance I am talking about is that which seeks to make us believe that we live in the best of all possible worlds, and that whoever happens to hold a contrary opinion must be either an enemy agent or a raving loony whose mind has taken leave of him or her.
So we keep hearing about what has been achieved “in record time,” even when the real achievements on the ground are, well, scant and could have been realised at a much lower cost. Some of those vaunted successes are nothing short of white elephants still in their infancy but whose eventual cost to our economy is likely to prove staggering.
BRAVO CAMARADES: China just tested the world's most powerful naval gun, and US intelligence says it will be ready for warfare by 2025!
China's railgun was first seen in 2011 and underwent testing in 2014, according to the people, who spoke to CNBC on the condition of anonymity.
Between 2015 and 2017, the weapon was calibrated to strike at extended ranges, increasing its lethality. By December 2017, the weapon was successfully mounted on a warship and began at-sea testing, a feat no other nation has accomplished. The Chinese are expected to complete at-sea testing by 2023.
Wednesday, January 30, 2019
Denmark raises fence on German border to prevent swine fever!

The 1.5-metre high fence, which will run along the entire border between the two countries, is due to be completed by the end of the year.
Work on the initial sections of the fence, which was also to extend 0.5 metres underground, began near the town of Padborg, close to the German border town of Flensburg.
At the construction site, Mogens Dall – head of Danish farmers’ association Landbo Syd – stands on the muddy ground and looks contentedly at the work. “The fence is long awaited,” he said.
ORCA!

An orca chases herrings in the Reisafjorden fjord region, near the Norwegian northern city of Tromso in the Arctic Circle.
Harris emerges as frontrunner to oust Trump!

By launching her campaign a year before any primary votes are cast, the Democratic senator from California leapfrogs several party luminaries waiting in the wings, and a few already in the race, to become the de facto frontrunner.
It is a burgeoning field that may ultimately feature dozens of candidates seeking to oust President Donald Trump.
Tuesday, January 29, 2019
RAIS DKT.MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 6 WA MAHAKAMA YA RUFANI NA MAJAJI 15 WA MAHAKAMA KUU TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Winnie Korosso Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 29, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sahel Barke Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Januari 29, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Lugano Samson Mwandambo Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari 29, 2019.
Apple spent $60 bn, created 450,000 jobs in US in 2018!

- The total number of jobs created and supported by Apple in the US has more than tripled since 2011.
"Since 2011, the total number of jobs created and supported by Apple in the US has more than tripled -- from almost 600,000 to 2 million across all 50 states," the company said in a statement as it readied to announce the results of its first quarter of fiscal 2019 on Tuesday.
Brexit deal: Theresa May pushing EU to make changes!

Britain's Prime Minister Theresa May leaves 10 Downing Street.-
- EU leaders have ruled out any renegotiation on the Brexit deal.
EU leaders have ruled out any renegotiation on the Brexit deal, but May urged parliament to give her a mandate by backing a call for the border measure to be replaced by unspecified "alternative arrangements".
"Today we have the chance to show the EU what it will take to get a deal through this House of Commons; what it will take to move beyond the confusion and division and uncertainty that hangs over us," May said. The House of Commons was voting later in the day on completing Brexit proposals submitted by both pro-Brexit and pro-EU legislators.
2.5m arrested for residency, labour violations in Saudi Arabia!

- They were caught during a year-long campaign.
According to an official report, the campaign to crack down on violators began in November 2017 and has since led to arrest of 2,504,037 offenders in a year. From the total number of violators arrested, 1,949,024 were held for violating residency regulations, while 383,033 people were held for flouting labour regulations.
Guilty of 8 murders, Canadian serial killer 'staged victims, photographed them'!

- He now faces the likelihood of life in prison.
The plea entered by Bruce McArthur, 67, was a surprise - he had been scheduled to stand trial next year.
He now faces the likelihood of life in prison. A sentencing hearing is scheduled to start on February 4, when family and friends of the victims will have an opportunity to describe how the killings have affected their lives.
Maandamano kuendelea Sudan!

Katika taarifa iliotolewa na viongpozi wa wapinzani na mshirika ya wafanyakazi imefahamisha kuwa maandamano yatafanyika katika miji tofauti nchini Sudan Jumanne.
Maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa mahitaji katika jamii. Maandamano hayo yanafanyika nchini Sudan tangu Disemba 19.
Maandamano hayo yalibadilisha sura yake na kuwa maandamano ya kupinga serikali ya rais Omar Al Bashir na kumtaka kuondoka madarakati.
Jeshi la Polisi lilitumia mabomu ya kusabisha kutokwa na machazo kuwatawanya waandamanaji.
Shirika la Amnesty International limesema kuwa watu 40 ndio waliofariki kufuatia maandamano hayo nchini Sudan.
VENEZUELA YAWEKEWA VIKWAZO VINGINE VYA KIUCHUMI!

Marekani imeliwekea vikwazo shirika la mafuta la serikali ya Venezuela PDVSA na kulitaka jeshi la nchi hiyo kuyaunga mkono mabadiliko ya amani ya uongozi.
Mshauri wa masuala ya ulinzi wa rais Donald Trump John Bolton amedai kuwa rais wa Venezuela Nicolás Maduro na washirika wake hawataweza tena kuiba rasilimali za raia wa Venezuela.
Harakati za upinzani nchini humo kuung'oa madarakani utawala wa Maduro zimeshika kasi katika kipindi cha siku za hivi karibuni.
Marekani na nchi zaidi ya 20 zinamtambua kiongozi wa upinzani Juan Guaidó kama rais wa mpito wa nchi hiyo.
Waziri wa Fedha wa Marekani Steven Mnuchin amesema mapato yatakayotokana na uuzwaji wa mafuta kutoka nchi hiyo yatazuiwa kwenda kwenye mifuko ya serikali ya Maduro.
Kampuni hiyo inaweza kuondokana na vikwazo pale itakapomtambua Guaidó kama rais halali.
/BBC
RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO MALIASILI MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR!
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kuhusiana na maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mshauri wa Rais Masuala ya Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Abdulrahman Mwinyijumbe, mkutano huo umefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasi, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kuhusiana na Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Kilimo Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Rashid Ali Juma, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) |
Four police shot in Houston, two suspects dead!

- The officers were shot when they tried to enter a home in Houston to serve a warrant.
Two of the officers were shot in the neck and were undergoing surgery, Houston Police Chief Art Acevedo told reporters, adding that they were in critical but stable condition. The other two officers shot will remain hospitalized for at least another 24 hours, but are ambulatory, he said.
The officers were shot when they tried to enter a home in southeast Houston to serve a warrant shortly before 5pm, Acevedo said.
Mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuepukana na ugonjwa ya figo!
Ili uweze kujikinga na janga litokanali na ugonjwa wa figo basi unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:
Usichelewe kwenda kujisaidia haja ndogo.
Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
Girl dangles from third floor balcony in scary video!
- The little girl can be seen dangling from her neck.
Fortunately, two men from the several onlookers on the road below the building, climbed up to save the child. The video shows the men climbing up with the help of a ladder and manage to rescue the girl on time.
Monday, January 28, 2019
Mfahamu Jonas Savimbi kiundani zaidi!
Februari 22, 2002 vyombo vingi vya habari duniani kote vilitawaliwa na habari kubwa ya kuuawa kwa mfalme wa pori na mwanaume aliyeisumbua serikali ya Angola kwa zaidi ya miaka 27 akiongoza vita vya msituni dhidi ya vikosi vya serikali.
Jonas Malheiro Savimbi, alikuwa mtoto wa pekee kwa baba yake Lote, aliyekuwa mfanyakazi wa reli ya Benguela na mhubiri wa kanisa la Protestanti lililokuwa likifadhiliwa na Wamarekani.
Jonas Malheiro Savimbi, alikuwa mtoto wa pekee kwa baba yake Lote, aliyekuwa mfanyakazi wa reli ya Benguela na mhubiri wa kanisa la Protestanti lililokuwa likifadhiliwa na Wamarekani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Shein, Azungumza na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo Ikulu Zanzibar..
WhatsApp rolls out new feature on its web version!

- The feature comes as part of the 0.3.2041 update along with new improvements and security fixes.
The feature comes as part of the 0.3.2041 update along with new improvements and security fixes, WABetaInfo, a fan website that tracks WhatsApp, reported on Sunday.
In the previous web version, the messaging app released the PiP feature to watch shared videos.
Balozi Seif azindua mradi wa maji safi na Salama Shule ya msingi Mangapwani!
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua Rasmi Mradi wa Huduma ya Maji safi na salama uliopo Skuli ya Msingi Mangapwani utaosambaza pia katika Vijiji Jirani vinavyoizunguuka Skuli hiyo.
Balozi Seif akitoa onyo kwa Mtendaji ye yote wa Halmashauri ya Wilaya atakayebainika kuzorotesha uendelezaji wa Miradi ya Wananchi ndani ya Majimbo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Misri Nchini Tanzania!
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha leo,28-1-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe.Gaber Mohamed, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.28-1-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake wakitoka katika ukumbi Balozi wa Misri Nchini Tanzania. Mhe. Gaber Mohamed, baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) .
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)