Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri sehemu ya awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment