Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameondoka nchini kwenda
Malawi kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku 2. Kisha atarejea nchini na
kuanza ziara ya kikazi ya siku 8 Mkoani Mbeya.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************


No comments :
Post a Comment