China imerusha setilaiti ya 21 yenye mfumo wa Beidou Namba 3 kwenye anga ya juu kwa kutumia roketi aina ya Long March-3B kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satilaiti cha Xichang mkoani Sichuan mwendo wa 2:09 asubuhi.
Mfumo wa China wa urambazaji wa Setilaiti wa Beidou Namba 3, utakamilika mwaka wa 2020 ukiwa na setilaiti 35.
Satelaiti hiyo intatumika katika maeneo mbalimbali ikiwemo mawasiliano na usafiri, uvuvi, utabiri wa hali ya hewa, na kuzuia moto katika misitu.

No comments :
Post a Comment