Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, June 26, 2019

Wimbo mpya wa Diamond wavunja rekodi!


Msanii Diamond Platnumz anaendelea kutengeneza records katika muziki wa Bongo Fleva, kupitia platform tofauti za Muziki.
Hii ni mpya tena baada ya kuweka record ya video yake mpya ya wimbo uitwao Kanyaga kutazamwa Mara Milioni 1 kwa masaa 13 pekee katika mtandao wa YouTube.


Hii inakua Record Mpya Katika Muziki wa Bongo Fleva ndani ya Mtandao wa YouTube kwani mara ya mwisho record hiyo aliiweka yeye mwenyewe kupitia ngoma yake ya Hallelujah Iliyofikisha views Milioni ndani ya Masaa 15.

No comments :

Post a Comment