Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na vingozi wa kata na jimbo wa chama hicho pamoja na wanachama wilayani Ruangwa mkoani Lindi leo ,Julai 23,2020.
Katibu wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Fusi akizungumza na Kiongozi wa kata na jimbo pamoja na wanachama wa chama hicho wilayani Ruangwa mkoani Lindi leo, Julai 23,2020.
No comments :
Post a Comment