Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Mohamed Hassan wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kumaliza kikao kazi pamoja na wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi leo kisiwani Pemba wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ambapo aliwataka wadau wote wa uchaguzi pamoja na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kisiwa hicho.Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Sunday, September 6, 2020
WADAU WA UCHAGUZI PAMOJA NA WANANCHI WENGINE WA KISIWANI PEMBA WATAKIWA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO KISIWANI HUMO!
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Mohamed Hassan wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kumaliza kikao kazi pamoja na wadau wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wadau wengine wa uchaguzi leo kisiwani Pemba wakati alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ambapo aliwataka wadau wote wa uchaguzi pamoja na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kisiwa hicho.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment