dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 11, 2020

RAIS DKT.SHEIN AZINDUA KITABU CHA KOCHA BORA!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu kiitwacho “Mwalimu Bora wa Soka”uliofanyika leo
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akinyanyua kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” baada ya kukizindua rasmi leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ambacho kimeandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
Baadhi ya Wanamichezo wa zamani waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichizonduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ,ambapo kiliichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,
Wanamichezo na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,
Mkalimani wa Lugha za Alama akisomea watu wenye tatizo Uziwi katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,
Makocha mbali mbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,[Picha na Ikulu

No comments :

Post a Comment