Juu: Sura ya Marikiti ya Mwanakwerekwe itakavyokuwa baada ya kumalizika kujengwa!
UKUBWA WA DUKA: 12FT BY 45FT
PAHALA: MBELE YA MARIKITI YA KWEREKWE
PAHALA: MBELE YA MARIKITI YA KWEREKWE
KODI: KUANZIA 750,000/- KWA MWEZI
PELEKA BEI YAKO KWA EMAIL: <znzkwetu@gmail.com>
WEKA JINA LAKO KAMILI NA NAMBA YA SIMU YAKO KWENYE EMAIL KWAAJILI YA MKATABA
MAUZO YA KILA SIKU NI BAINA YA MILIONI 3-5
MKATABA WA KUKODI DUKA NI MWAKA MMOJA MMOJA KUANZIA TAREHE MOSI JANUARY,2023
ANAETOA BEI YA JUU NDIO MSHINDI!
ANAETOA BEI YA JUU NDIO MSHINDI!
MSHINDI KUJULIKANWA IJUMAA TAREHE 23, DECEMBER, 2022, SAA KUMI ZA JIONI
HAKUNA MAZUNGUMZO YA MDOMO!
Nimelipenda hili tangazo. Mwenye uwezo anachukuwa duka bila ya kilemba. Haya mambo ya kilemba ni bribery na sio mazuri. Ikiwa kila mwenye chake anatangazia kwa wazi kama hivi basi Zanzibar yetu itakuwa bila ya corruption.
ReplyDelete