AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 20, 2022

DUKA LAKODISHWA KWEREKWE BILA YA KILEMBA!

Juu: Sura ya Marikiti ya Mwanakwerekwe itakavyokuwa baada ya kumalizika kujengwa!


UKUBWA WA DUKA: 12FT BY 45FT

PAHALA: MBELE YA MARIKITI YA KWEREKWE

KODI: KUANZIA 750,000/- KWA MWEZI

PELEKA BEI YAKO KWA EMAIL: <znzkwetu@gmail.com>

WEKA JINA LAKO KAMILI NA NAMBA YA SIMU YAKO KWENYE EMAIL KWAAJILI YA MKATABA

MAUZO YA KILA SIKU NI BAINA YA MILIONI 3-5

MKATABA WA KUKODI DUKA NI MWAKA MMOJA MMOJA  KUANZIA TAREHE MOSI JANUARY,2023

ANAETOA BEI YA JUU NDIO MSHINDI!

MSHINDI KUJULIKANWA IJUMAA TAREHE 23, DECEMBER, 2022, SAA KUMI ZA JIONI

HAKUNA MAZUNGUMZO YA MDOMO!



1 comment :

  1. Nimelipenda hili tangazo. Mwenye uwezo anachukuwa duka bila ya kilemba. Haya mambo ya kilemba ni bribery na sio mazuri. Ikiwa kila mwenye chake anatangazia kwa wazi kama hivi basi Zanzibar yetu itakuwa bila ya corruption.

    ReplyDelete