dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, August 9, 2012

MAALIM SEIF ATEMBELEA WAUZA MITUMBA SAATENI

 Mfanyabiashara ya mitumba katika soko la Saateni akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad  alipotembelea eneo hilo jana.


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia biashara ya mitumba, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la Saateni mjini Zanzibar.
(Picha na OMKR)

No comments :

Post a Comment