Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, August 16, 2012

Tetezi: Kuiba Bahari Kuu ya Zanzibar Imegonga Mwamba

Written by Anonymous  //  16/08/2012  //  


Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar Bw. Ramadhan Abdullah Shaban (Mungu amuweke!)

Kuna tetesi kuwa ule mpango wa Tanganyika wa kutaka kuiiba ukanda/eneo la bahari kuu ya Zanzibar umegonga mwamba baada ya Ramadhan Abdullah Shaban, waziri wa ardhi, maji, nishati na madini kukataa kutia saini huko United Nations, New York.


Mh.Shaban amefuatana na Bibi Anna Tibaijuka (mwizi no.1 kutoka Tanganyika).

Inasemekana walitakiwa signatories wawili – kutoka pande zote mbili za ‘huo Muungano’ — bahati nzuri halibadiri ya Uamsho zinaaza kufanya kazi; sasa Ramadhan Abdullah Shaban, mkereketwa wa hali ya juu, sasa ameanza kuuona ukweli.

Hizo ni tetesi zimepatikana hivi punde kutoka huku majuu, ....................... – anayejua zaidi atujulishe.

Source: Mzalendo.net

No comments :

Post a Comment