Kampeni ya CCM Jimbo la Bububu.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yussuf Mohammed, akimnadi Mgombea wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutono wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Kiboko Yao Sharifumsaa. ikiwa ni moja ya Kampeni za Chama hicho katika maeneo ya Jimbo hilo kuomba kura kwa Wananchi wa Jimbo hilo.
Mgombea wa Uwakilishi wa Jimbo la Bububu Hussein Ibeahi Makungu (BHAA) akitowa sera zake kwa Wananchi wa Jimbo hilo katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Kiboko Yao Sharifumsaa.
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Hussein Ibrahi Makungu BHAA, akitowa salamu kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu wakati wa kampeni yake katika jimbo hilo kuomba ridhaa za Wananchi kumchagua kuwawakilisha Wananchi wa Bububu.
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Hussein Ibrahi Makungu akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Jimbo la Bububu katika Kampeni yake ya kuomba kura katika Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.
Aliyekuwa Mpizani wa nafasi ya Uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi Kilupi akiwataka wananchi wa Bububu kumchagua BHAA.
Chanzo: Mapara
No comments :
Post a Comment