Marehemu Daudi Mwangosi
Mandamano ya kupinga mauwaji ya kinyama yanayofanywa na Jeshi la Polisi Nchini Tanzania, yatafanyika Washington DC
Viongozi wa tawi la Chadema DMV, wamedhamiria kufanya maandamano kupinga kitendo cha Mauwaji dhidi ya raiya yanayofanywa na Jeshi la Polisi kwa raiya pinzani, na haswa kitendo cha hivi karibuni cha kumuua mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.Tetesi hizo zinaendelea kubaini kwamba vitendo hivyo vyakinyama vilivyofanywa na serikali havitovumiliwa kamwe na wanaDiaspora waishio njee ya nchi, tarifa za maandamano hayo tutawaletea zaidi pinda maandalizi ya kikamilika zaidi kwa mwenye machungu ya vitendo hivyo mnaombwa kujumuika zaidi.
Uongozi wa Tawi la Chadema DMV.
Source: Swahilivilla
No comments :
Post a Comment