Vurugu zilivyoanza Nyororo Mkoani Iringa
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi aliyelipuliwa na Bomu na askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia baada ya kipigo kikali toka kwa askari zaidi ya sita.
Chanzo: Swahilivilla
No comments :
Post a Comment