Marehemu Daud Mwangosi
MWANA-LIBENEKE MAARUFU AUNGURUMA KWENYE RAIA MWEMA
ASEMA KWA GHADHABU NA KISHINDO: MWANDISHI NI MJUMBE, HAUAWI
(see our comments below)
Wednesday, September 05, 2012.
Dear Kaka Mjengwa,
Ujumbe wako unatukumbusha ujumbe mwengine unaosema..." A barking dog never bites", lakini je, huyo mbwa anajua hivyo?
Sote tunajua kuwa ' Muandishi ni mjumbe hauawi', lakini suala ni kuwa je polisi wa Tanzania wanajua hivyo?????
Polisi wa Tanzania ni sawa na polisi wa enzi za kikoloni na wanaua kila kitu kilichopo mbele yao - kama ni muandishi, mjumbe, etc etc!!!
/Geo Kimbi
No comments :
Post a Comment