Marehemu Daudi Mwangosi
VITA BAINA YA WANAHABARI NA SERIKALI SASA YAANZA
KIDOGO KIDOGO!
- Kilele kitakuwa patakapotokea maandamano ya Wanahabari wote nchini
- Kama Serikali haitokuwa makini na ikawaajibisha wakubwa fulani vita itatokea kweli
- Polisi kunyanyua bango jekundu lenye maneno ya kutumia nguvu ilikuwa ni kutangaza vita dhidi ya raia wasiokuwa wenye silaha
- Mkuu wa Upelelezi wa Iringa hakutumia busara na maarifa - shouldn't have poked a yet unhealed wound!
- Labda akiogopa kuvamiwa na Wanahabari - kitendo ambacho kisingelitokea!
Raising of the above banner was tantamount to a declaration of war on unarmed innocent civilians!
And that is exactly what happened thereafter and therefore the Security forces in Iringa have no excuse for the cold-blooded murdering of Daudi Mwangosi!
Kwa ziada soma mwenyewe hapa chini maelezo kutoka Iringa.And that is exactly what happened thereafter and therefore the Security forces in Iringa have no excuse for the cold-blooded murdering of Daudi Mwangosi!
/Said Bakar
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Wanahabari Iringa Wagoma Kupokea Ripoti Ya Awali, Ya Mkuu Wa Upelelezi Makosa Ya Jinai Kufatia Kifo Cha Daudi Mwangosi
Baadhi ya wanahabari
Wanahabari wa Iringa Wakitoka nje ya ofisi
Picha na habari , Said Ng'amilo, Mjengwablog-Iringa.
Titles in red: By Said Bakar of ZanzibarNiKwetu blog - Zanzibar.
No comments :
Post a Comment