Binti Wa Oscar Kambona Ajiunga Na Chadema...
Mwenyekiti wa Chadema UK Chris Lukosi akimkabidhi kadi mwanachama mpya Neema Kambona, mtoto wa mwanasiasa mkongwe Mzee Oscar Kambona, shughuli hii fupi ilifanyika Leo Barking baada ya Watanzania wengi kuamua kujiunga na M4C.
Picha na Maelezo: Chadema UK
No comments :
Post a Comment