Marehemu Daudi Mwangosi
CHADEMA UK Wamchangia Mjane Wa Mwangosi
TAWI LA UK
CHADEMA TAWI LA UK LACHANGIA HARAMBEE YA KUMSAIDIA MJANE WA MWANGOSITawi la chadema UK jana walijiunga na wanaharakati wengine duniani kote kumchangia mjane wa mwandishi aliyeuawa DAUDI MWANGOSI,(R.I.P)
Mchango huo amekabidhiwa Mwenyekiti wa Mjengwa Blog kiasi cha shs 1,012,500 cash
Wako katika ujenzi demokrasia ya kweli na uhuru wa ukweli
Chris Lukosi
Mwenyekiti - Tawi la UK
No comments :
Post a Comment