Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 26, 2012

BENJAMIN WILLIAM MKAPA UBELGIJI!

Thursday, October 25, 2012.

MHESHIMIWA RAIS MSTAAFU WA JAMHURI 

YA MUUNGANO WA TANZANIA, 

BENJAMIN WILLIAM 

MKAPA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI 

KILICHOANDALIWA NYUMBANI KWA BALOZI WA 

TANZANIA UBELGIJI MH. DKT. DIODORUS KAMALA 

TAREHE 21.10.2012


Mh. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Mama Balozi mara baada ya 
kuwasili nyumbani kwao Brussels kwa ajili ya chakula cha jioni

Pichani ni baadhi ya watanzania na maafisa ubalozi waliojitokeza kumpokea Mh. Mkapa

Mh. Mkapa akisaliana na wadau

Wadau wakiendelea na salam pamoja na ukaribisho

Watanzania walijitokeza kwa wingi kumkaribisha Mh. Mkapa

Ukaribisho ukiendelea

MHESHIMIWA RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO 
WA TANZANIA, BENJAMIN WILLIAM MKAPA ASHIRIKI CHAKULA 
CHA JIONI KILICHOANDALIWA NYUMBANI KWA BALOZI WA 
TANZANIA UBELGIJI MH. DKT. DIODORUS KAMALA 
TAREHE 21.10.2012 wakati Mh Rais Mstaafu alipokuwa Brussels, 
Belgium kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na International 
Crisis Group(ICG).
asante!

Wakina mama hawkaubaki nyuma 

Mh. Mkapa akikaribishwa

Baadhi ya watanzania waliojumika na Mh. Mkapa ktaika chakula cha jioni 
nyumbani kwa Mh. Balozi Kamala

Rais mstaffu wa Tanzania Mh. Benjami Mkapa akiwa katika picha na 
Mh. Balozi wa Tanzania Belgium Dr Kamala nyumbani kwake

Rais mstaafu wa Tanznia Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja 
na viongozi wa Kikundi cha Upendo cha Ubeligiji na Mh. Balozi wa 
Tanzania Ubeligiji Dr. Kamala

Raisi mstaafu wa Tanzania Mh. Mkapa akiwa katika picha ya 
pamoja na familia ya balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr Kamala

Baadhi ya viongozi wa Jumuyia ya watazania Ubeligiji na Uholanzi 
wakiwa katika picha ya pamoja na Rais msatafu wa Tanzania 
Mh. Benjamin William Mkapa pamoja na balozi wa Tanzania Ubelgiji 

Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment