Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda
wake wa UVCCM, Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo
cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane
wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa
Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu
wa nane wa Jumuiya ya Vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha
Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu
wa nane wa Jumuiya ya Vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe
wa viongozi wa jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa UVCCM.
Picha na Muhidin Michuzi
Chanzo: Mjengwa
No comments :
Post a Comment