Written by Ashakh (Kiongozi) // 25/10/2012
Jopo la mawakili waliojitokeza kutetea viongozi wa uamsho wametangaza kujiondoa kwenye kesi hiyo
Taarifa zilizopatikana ni kwamba mawakili hao wamejitoa ili kukidhi madai yao. Miongoni mwa madai ni kutaka wateja wao kutendewa haki zaidi kwa mujibu wa sheria na haki za binaadamu.
Hivi sasa washitakiwa wameshafika mahakamani kuendelea kusikilizwa kesi yao inayowakabili viongozi saba wa jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislam.
Chanzo: Mzalendo
No comments :
Post a Comment