Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 22, 2012

NI MARUFUKU SASA ZANZIBAR........

Written by   //  22/10/2012  
  1. makame silima 22/10/2012 kwa 9:19 mu · 
    UMOJA WA WAZANZIBAR WA NDANI NA NJE YA ZANZIBAR POPOTE PALE MULIPO ULIMWENGUNI.
    SILAHA PEKEYAKE YAKUWANGAMIZA MADUWI WETU NA WALE WASIOITAKIA MEMA ZANZIBAR NA KIZAZI CHAKE , NI KUACHA TAFAUTI ZETU ZA KIVYAMA NA KUWA KITU KIMOJA HAPA TUNAWEZA KUWANGAMIZA MADUWI ZETU.
    HIVI SASA WANANCHI WA ZANZIBAR WAMEKUWA MAZULUMU NA WATOTO YATIMA WASIO NA BABA WALA MAMA.
    LIKITOKEZA KUNDI LENYE KUWATETEA HAKI ZAO BASI HUTOKEZA MADUWI(WANAFIKI) WASIO WAZALENDO WA NCHI NA KUTUMILIWA KAMA Handkerchief ILI KUWAKANDAMIZA NDUGU ZAO KWA KUMSADIA ADUWI WA ZANZIBAR AMBAE NI MKOLONI TANGANYIKA.
    TUKUMBUKE KUWA ZANZIBAR KWANZA BILA KUWEKO ZANZIBAR YETU BASI NI BINADAMU KUKOSA KICHWA, KICHWA NDIO ENGINE YA MWANADAMU.
    NA MZANZIBAR HAWEZI KUWA MZANZIBAR IKIWA ZANZIBAR HAIPO, HIVI SASA KUNA JITIHADA ZA MAKSUDI ZA KUIFUTA ZANZIBAR, NA JITIHADA HIZO ZINAPATA MSADA MKUBWA KWA WANAFIKI NA WATAPIA MLO WA ZANZIBAR WENYEWE.
    LAKINI SILAHA YENYEWE YA KUWABOMOA HAO NA KUWAWEKA UCHI HAZARANI KWA KUWAFEDHEHESHA NI UMOJA WETU WAZANZIBARI NDIO SILAHA DHIDI YAO.
    TUKUMBUKE MAADUWI WA ZANZIBAR WALIKWISHA KUTUGAWA HUKO NYUMA KWA MISINGI MINGI TU YA KIBAGUZI, KISIASA NA HIVI SASA WANATUGAWA KWA MISINGI YA KIDINI.
    CHONDE CHONDE WAZANZIBAR, HIVI SASA WAMEANDAMWA MAAMIRI WETU WA JUMUIA YA JUMUIK(UAMSHO) HUYU NDIO ADUWI WAO # 1 HIVI SASA WAPILI NI CUF.
    HII YOTE NIKUONYESHA WAZI KUWA KUTOKUWA PAMOJA WAZANZIBAR NA KUKUBALI KUGAIWA KWA NJIA YOYOTE ILE BASI HII INAWEZA KUWATENGENEZEA KIVULI AU MABAWA YA KUJIFICHIA MAOVU YAO HAWA MAKAFIRI WASIO NA DINI WALA IMANI.
    KILICHO WASIBU MASHEIKH WETU TUNAKIJUWA JAWABU LIKO WAZI NI KUONEKANA JUMUIA YA MAIMAMU ZANZIBAR IMEWEZA KUWAUNGANISHA WAZANZIBAR WOTE NA KUSAHAU TAFAUTI ZAO ZA ITIKADI ZA VYAMA.
    HUU UMEKUWA NI KAMA MWIBA WA KUTOKUFANYA MAOVU YAO NA KUONA NIA ZAO ZA KUPATIA RIZIKI ZINAANZA KUINGILIWA.
    HATUNA SHAKA KUWA WABAYA WA ZANZIBAR HUTUMIA FITNA,CHUKI NA UBAGUZI KUONA NDIO MISINGI YAO MIKUU YA KUENDELEA KUTAWALA KWA MISINGI HIO NA MRADI WAO HUKUWA KWA NJIA HIZO ZA UKANDAMIZAJI.
    SASA LEO WAZANZIBAR WAKIWA KITU KIMOJA NA KUSAHAU ITIKADI ZAO ZA VYAMA NA KUIMBA NYIMBO YAO YA ZANZIBAR KWANZA HAWA MADUWI HUWA POWERLESS.
    TUJITAHIDINI WAZANZIBAR KUUNGANA NA KUWA KITUKIMOJA, HII NDIO SILAHA PEKEYAKE YAKUMUANGAMIZA ADUI WETU.
    TUVUTE KAMBA MOJA KWANZA YAKUIOKOA ZANZIBAR YETU NA KUIKWAMUA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI NA TOPE,TUKISHAIPATA ZANZIBAR YETU HAPO TENA MATATIZO YETU YA NDANI TUNAWEZA KUKAA CHINI NA KUYAJADILI KAMA NDUGU WATU .
    TUCHUKUWE MFANO WA SOMALIA WALIPOINGILIWA NA ADUI MAREKANI KWENDA KUWASAGA, WASOMALI WALISAHAU TAFAUTI ZAO ZA KIKABILA NA WALISHIRIKIANA KUMTOA ADUI MGENI KWANZA NA MMAREKANI HAKUHIMILI UMOJA WAO WASOMALI NA ILIBIDI AKIMBIE.
    HII YOTE NI KUTOKANA NA KUONA AMERIKA WALISHINDWA KUWAGAWA WASOMALI NA KUPATA KUNDI LA KUWATUMILIA DHIDI YA WAO KWA WAO.
    SASA NA SISI TUPIGANE NA HUYU ADUWI WETU MKOLONI WETU TANGANYIKA KWANZA TUKISHA MTOWA BAADAE TUTAKAA CHINI TUTATUWE MATATIZO YETU WENYEWE KWA VILE NI NDUGU.
    MTU KUPIGWA KWAO HUA HAHISI KAONEWA LAKINI KUPIGWA NA MTU WA MBALI BASI UNAHISI KAKUONEA, KWA HIO MTU WA MBALI NI TANGANYIKA NA VITA VYA NDUGU USIVINGILIE WAKATI WOTE WANAWEZA KUWA PAMOJA NA KUSAHAU TAFAUTI ZAO.
    LAKINI TUSIKUBALI KUMRUHUSU ADUI KUTUTUMILIA KWA FAIDA YAKE.
    Chanzo: Mzalendo


No comments :

Post a Comment