Mwenyekiti mpya wa UWT Sophia Simba akipongezwa
na mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein baada
ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi wa UWT jana usiku
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitowa nasaha zake
kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT uliofanyika katika
Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma na kumchangua
Mwenyekiti Mpya Sophia Simba
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia
baada ya kutangazwa jina lac Mwenyekiti mpya wa Umpja
huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari katika
ukumbi wa Chuo cha Mi[pango Dododo jana usiku
MWENYEKITI wa UWT Mhe. Sophia Simba na Makamu
wake Mwenyekiti Mhe.Asha Bakari Khamis, wakiwa na furaha
baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu wa umoja
huo uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha mpiango dodoma
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia
baada ya kutangazwa jina la Mwenyekiti mpya wa Umoja huo
Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha Bakari katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma jana usiku
VIONGOZI wa meza kuu wakishangilia baada ya kuitolewa
matokeo ya kura za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti
wa UWT, baada ya uchaguzi kufanyika kuwachagua Viongozi hao.
Chanzo: ZanZinews
No comments :
Post a Comment