Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita wanaotuhumiwa kwa kutoa lugha za uchohezi leo wameshitakiwa kwa kosa jengine katika mahakama Kuu ya Vuga Mjini Unguja huku wakionekana wamefikishwa mahakamani hapo wakiwa wamenyolewa ndevu wote. Wakati watuhumiwa hao wanafikishwa mahakamani Mawakili wao Salim Tawfik na Abdallah Juma wamejitoa katika kesi hiyo kwa madai ya wateja wao kuwa hawakutendewa haki kwa kusumbuliwa kutokana na kucheleweshwa kuletwa mahakamani na vitendo wanavyofanyiwa
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment