Kumekuwa na ongezeko kubwa kwa vijana wa Kizanzibar kujiingiza katika fani mbalimbali za maendeleo. Huku ni kuonyesha uwezo wa vipaji miongoni mwao kuliko vile inavyofikiriwa.
Fani ya sanaa ya uchoraji na upambaji wa majengo kama inavyoonekana hapo juu imekuwa kivutio kikubwa. Vijana katika uchoraji wao wamekuwa wakijumuisha sanaa hii kwa kuichanganya na zile nyengine ulimwenguni zinazotumika, ikiwa ni pamoja na utumiaji wa technolojia, ili ieandane na wakati. Pia kuchanganya na sanaa za nchi nyengine kama vile Uajemi, Bara Arabu, au Ulaya.
Si muda mrefu ndani ya Zanzibar tutashuhudia majumba mazuri yaliyojengwa kwa design maridadi na za kuvutia.
Kwa yoyote yule anayehitaji ushauri au maelezo juu ya design hizi na nyingi nyenginezo tafadhali usiache kuwasiliana nasi kupitia njia hizo hapo chini.
Unaweza kupiga simu namba hii +255 776 383172 au unaweza kutuandikia kupitia email hii:
<abdulwahid.alabry@yahoo.com>
<abdulwahid.alabry@yahoo.com>
No comments :
Post a Comment