Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Msumbiji
aliyepo Zanzibar, Bernado Contantino Lidimba, alipofika Ikulu mjini
Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais , baada ya kumaliza muda wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa
Msumbiji aliyepo Zanzibar Bernado Contantino Lidimba,
alipofika Ikulu Mjii Zanzibar kumuaga Rais, leo.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Chanzo: Vijimambo
No comments :
Post a Comment