Rais Yoweri Museveni wa Uganda (kulia) akisalimiana na Makamu wa
Rais wa Tanzania Dr. Gharib Bilal (kushoto) Dec,7,2012 alipowasili katika
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK ,Nyerere jijini Dar es Salaam kuhudhuria
mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Rais wa Mozambique Armando Guebuza (kush) akiwa waziri wa mambo
ya nje na ushirikiano wa kimataia Membe
Rais wa Jamhuri yaKidemokrasia ya Congo( DRC) Joseph Kabila
(kushoto) akipokelewa na Waziri wa Uvuvi Dkt. David Mathayo
Dec,7,2012 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Jk . Nyerere jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Zambia Dkt.Guy Scott (kulia) akifurahia jambo
na Waziri wa Uchukuzi Dkt, Harison Mwakyembe (dec,7,2012) wakati
wa mapokezi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini
DSM kwaajili ya kuhudhuria mkutano wa dharura wa SADC.
Kikundi cha sanaa ya matarumbeta kinachoongozwa na gwiji wake
Mzee Hoza,kikitoa burudani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
JK, Nyerere Dec,7,2012 wakati wa mapogezi ya Marais na wajumbe
mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa SADC jijini Dsm.
(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Chanzo: Mjengwa Blog
Chanzo: Mjengwa Blog
No comments :
Post a Comment