SMZ na wanafunzi wanao
wasomesha nje ya nchii
Written by Abdul // 04/12/2012
Serikali ya Mapinduzi hamuwafanyii haki vijana wenu mnao wasomesha nje. Wanafunzi wenu wa China hamjawamalizia pesa za masomo na wanasumbuliwa na vyoo na hawana kwa kukimbilia wakipeleka malalamiko ubalozini hujibiwa ya kuwa ubalozi wa Tanzania (Tanganyika )nchini china hauna taarifa ya kuwa SMZ inasomesha watu china
Pili, huo utaratibu wenu wa kuwapa dola 1000usd za matumizi kwa kila miezi mitatu basi hakikisheni ikifika tu miezi mitatu wapatieni nyengine sababu wanafunzi wanalipa maji umeme na huduma nyenginee
Kiufupi msipokuwa makini harudi mtu huko shinda nyingi za wanafunzi, wanafuzi wa ukrein, ugangd, masri ,india
Shida za wanafunzi zimezidi damu wasaidienii watilieni pesa kwa awamu ya pili za matumizi na muwamalizie kuwalipia pesa za adaa ya masomo.
Chanzo: Mzalendo
No comments :
Post a Comment