Baadhi ya Wazanzibar waishio Copenhagen katika ukodak
moment baada ya kumaliza kupata dinner ya kusherehekea
kumbukumbu ya uhuru wa Zanzibar. Shughuli hiyo ilifanyika
katikati ya jiji la watulivu la Copenhagen.
Chanzo: Vijimambo
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment