dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, December 28, 2012

VIONGOZI WA UAMSHO WAKAMATWA ZANZIBAR

Written by   //  27/12/2012 

Leo Jeshi la polisi Zanzibar limewakamata Viongozi wengine wa Jumuiya ya UAMSHO maeneo ya Mwanakwerekwe Zanzibar!
Viongozi waliokamatwa ni pamoja na Katibu wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Abdallah Madawa na Sheikh Fikirini Majaliwa.Masheikh hao walikamatwa wakati wakiwa wameenda kusikiliza kesi ya viongozi wengine wa UAMSHO.
Kukamatwa kwao kumekuja siku mbili tangu padri mmoja  apigwe risasai maeneo ya Tomondo.
Habari zaidi zitawajia.
Source Jamii Forums/Mzalendo

No comments :

Post a Comment