Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, May 2, 2013

Dkt. Shein afanya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kwa mujibu wa uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 119 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, amemteua Bw. Jecha Salim Jecha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar.Aidha amewachagua wafuato kuwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Katika uteuzi huo ulioanzia jana tarehe 30-04-2013 amewateuwa wafuatao kuwa wajumbe wa Tume hiyo:-
  1.  Balozi Omar Ramadhani Mapuri       – Mjumbe
  2.  Bw. Salmin Senga Salmin                 – Mjumbe 
  3.  Bw. Nassor Khamis Mohammed      – Mjumbe 
  4.  Bw. Ayuob Bakari Hamad                 – Mjumbe 
  5. Jaji Abdulhakim Ameir Issa               – Mjumbe 
  6. Bw. Haji Ramadhan Haji                   – Mjumbe     
Wakati huo huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemteuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 61 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amemteuwa Dkt. Idris Muslim Hija kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. uteuzi ambao umeanza tarehe 30-04-2013
Viongozi hao wote wanatarajiwa kuapishwa siku ya jumamosi 4-5-2013, saa 2.30 Ikulu ya Zanzibar.

Chanzo: ZanzibariYetu

No comments :

Post a Comment