dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, June 22, 2013

Kikao Cha Pamoja Cha Kujadili Changamoto Za Muungano Mjini Dodoma Leo

Dodoma Leo

Kutoka kushoto, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano mh. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa mkutano, Mh Ali Juma Shamhuna Waziri wa Elimu Zanzibar, akimuwakilisha  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar kama Mwenyekiti mwenza katika kikao cha kamati ya pamoja cha Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar cha kujadili changamoto za Muungano.
Kutoka kushoto, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano mh. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa mkutano, Mh Ali Juma Shamhuna Waziri wa Elimu Zanzibar, akimuwakilisha Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar kama Mwenyekiti mwenza katika kikao cha kamati ya pamoja cha Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar cha kujadili changamoto za Muungano. (Picha kwa ihsani ya Michuzi Blog)
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za Muungano mjini Dodoma leo
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za Muungano mjini Dodoma leo


No comments :

Post a Comment