Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (kulia) wakiwa wameweka ulinzi mkali kwenye wodi aliyolazwa Katibu wa Jumuiya za Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda kwenye Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) jijini Dar es Salaam jana. Kushoto akiwa amelazwa kwenye taasisi hiyo akitibiwa baada ya kupigwa na kitu kinachodaiwa kuwa risasi mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita. Katikati ni baadhi ya watu waliofika hospitalini hapo kumjulia hali.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment