Askari Usalama Barabarani, Edward Mapunda, wa Kituo cha Polisi Chang'ombe jijini Dar es Salaam, akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik, mashine mpya ya kipima ulevi kwa madereva wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani kimkoa yaliyofanyika katika viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke jana.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment