zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 26, 2013

Maonesho ya biashara ya India - DSM

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad akisoma hotuba kwa niaba ya Rais wa Zanzibar kwenye ufunguzi wa maonyesho ya Biashara ya India yanayofanyika katika uwanja wa Biashara ya Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Waziri wa Nchi anayeshughulikia Biashara na Viwanda wa India,DPurandeswari (kulia) na Balozi wa India nchini, Debnath Shaw. PICHA:SELEMANI MPOCHI

No comments :

Post a Comment