Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda
katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala,
Uganda. Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.
Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili
unaendelea kuzorota.
CHANZO: VIJIMAMBO

No comments :
Post a Comment