zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 21, 2013

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU HUKO UNIVERSITY OF GUELPH, CANADA!

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mhe Bernard Membe kuelekea ukumbini kutunukiwa
Shahada Ijumaa Septemba 20, 2013.
Nyimbo za taifa zikipigwa wakati wa sherehe za
kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya
Uzamivu katika Chuo Kikuu Guelph jimboni Ontario,
Canada, Ijumaa Septemba 20, 2013.
Sehemu ya umati ulioshuhudia Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete wakati wa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya
Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa
Septemba 20, 2013.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa
Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa
Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario, D
kt Maureen Mancuso , Ijumaa Septemba 20, 2013.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akishangiliwa
katika Chuo Kikuu Guelph baada ya kutunukiwa Shahada
ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario
Ijumaa Septemba 20, 2013.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
Chuo Kikuu Guelph baada ya kutunukiwa Shahada
ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario
Ijumaa Septemba 20, 2013.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru
Kawambwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa
Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni
Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013.
Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment