zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 3, 2013

TAMICO

Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Ujenzi, Migodi na Madini (Tamico) Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, Charles Mgishi, akitangaza maamuzi ya kikao baina ya uongozi wa kampuni ya ujenzi ya Kijerumani ya Strabag, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na chama hicho kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo walioanza mgomo wa kutofanya kazi jana. Wafanyakazi hao wakidai kutolipwa malipo ya ziada na mishahara mipya kama ilivyotangazwa na serikali Julai mwaka huu.

No comments :

Post a Comment