Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
A befitting comment from a Mzalendo Reader!
ReplyDeleteMakame Ame 07/09/2013 at 11:22am
Naona gazeti limetawaliwa na ‘ uchafu’ wa CCM tu? Nilijiuliza lipi jipya ninalolipata hapa? Jee mzanzibari mwana CCM akisoma atapata picha gani juu ya msimamo wa gazeti hili? Kuna balance?
Jambo moja nimeliona. Pengine ni mtizamo wa fikra za waandishi kuwa wana mhimili mmoja. Popote alipotajwa Seif Sharif au Nyerere ikiandikwa Maalim Seif au Mwalimu Nyerere. Pia wengine zimetumika title zao kama Dk. au Balozi. Lakini akina sisi mburumatari tunakatwa majina tu.
Najiuliza huu ndio ustaarabu wetu wa kizanzibari wa kisasa? Najiuliza hata mzee wetu Aboud Jumbe tunamkata jina? Yeye hawezi kuwa Mzee? Sheikh ( ya utu uzima)? Maalim? Bwana?
Heshima zetu ‘ na maadili yetu ya Kizanzibari yamekwenda wapi Ya Rabi?