zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 20, 2013

Zanzibar Charitable Society yakabidhi msaada wa nguo Chambani , Pemba


 WALIMU wa skuli ya Sekondari Chambani Wilaya ya Chake Chake, wakiangalia nguo walizopatiwa msaada kwa wanafunzi wao, kutoka kwa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)


  MKURUGENZI wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society, Zahor Mazrui akimkabidhi nguo, msaidizi Mwalimu Mkuu wa skuli ya Chambani Sekondari Wilaya ya Chake Chake, Muharam Omar Mohamed. 
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

MKURUGENZI wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society, Zahor Mazrui akimkabidhi nguo, mmoja kati mya wanafunzi wa skuli ya Sekondari Chambani Wilaya ya Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment