Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Dk.
Reginald Mengi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya
uundwaji wa Sera ya Gesi Asilia inayojitegemea ya ushirikishwaji wananchi katika
mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
taasisi hiyo, Godfrey Simbeye.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment