zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, November 7, 2013

Mabalozi Wadogo wanaowakilisha Nchi zao Wajitambulisha kwa Makamo Balozi Seif Ali Iddi.

 Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif 
akizungumza na Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar 
Bwana Xie Yungliang aliyefika Ofisini kwake Vuga 
Mjini Zanzibar kujitambulisha rasmi.

  Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China 
Bwana Xie Yungliang akifafanua jambo kuhusu jitihada za 
China za kuunga mkono Zanzibar katika harakati zake za 
kiuchumi alipokuwa akijitambulisha kwa  Makamu wa 
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

 Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar anayekaribia 
kumaliza muda wake wa utumishi Nchini 
Bwana Sale Suleiman Al – Harith akiipongeza SMZ 
na Viongozi wake kwa ushirikiano mzuri waliompa 
wakati wa utumishi wake hapa Zanzibar.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar 
Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi Mdogo 
wa Oman hapa Zanzibar Bwana Saleh Suleiman Al – Harith 
Ofisini kwake Vuga alipofika kuaga rasmi baada ya 
kumaliza muda wake wa Utumishi Nchini.
(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.)

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment